Unmarried and over 30 looking for "mr right"

Nitafute hela mara ngapi mkuu ?! Nimeshatafuta hela, na nimeshaoa miakaa kadhaa iliyopita and my article doesnt sound lile "nalalamika"

Ila loveness78 unaposema nitafute hela naingiwa na shauku right ungepata kunijua kialisia ili unilinganishe na baba yako plus mume wako oooh huna mume, pole ok plus madanga yako yote, ujumlishe vijisenti vyao wote combined against me alone, afu tuone je bado ungeniambia "nitafute hela" ?! Yani unadhani wote hapa jf ni kama viboyfrend vyenu visivyo hata na nauli ya kuwapa baada ya kuwala uroda ?!.
Umeumia sana! Maneno mengi hayavunji mfupa. Wewe ndio unaejijua vyema. Utatamba kuuzidi hata ukoo wangu wote pesa, ila haisaidii. Kama una pesa kweli hungekuwa na maumivu kuja kujimwaga hapa kwa JF kuyatuliza walau kidogo baada ya kuachwa.
Ni vyema ukatafuta pesa mkuu, hautaambiwa tena hayo mambo ya Mr Right, kweli nakuambia.
 
Pale tunapopangia wengine namna ya kuishi, matokeo yake ndio kama hivi. Let them be mkuu, si wao ndio waliamua hivyo, basi acha wavune walichopanda, if at all that makes any difference.
 
Ni kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.

Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"

Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.

Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!

Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.

Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr bla bla bla".
Ngumu kumeza hiyoo
1575660755867.jpeg
 
Hakika na hua wanajifunza somo muda ukiwa umewapa kisogo.
Ni kweli mkuu, wengi wanatia huruma yaani wamepoteza matumaini, wanaamua kuwa single mothers. Na ukishakuwa single mother matatizo yanakuwa compounded. Muda ni mwalimu mbaya sana. Kiburi na ujanja wote mfukoni.
 
Umeumia sana! Maneno mengi hayavunji mfupa. Wewe ndio unaejijua vyema. Utatamba kuuzidi hata ukoo wangu wote pesa, ila haisaidii. Kama una pesa kweli hungekuwa na maumivu kuja kujimwaga hapa kwa JF kuyatuliza walau kidogo baada ya kuachwa.
Ni vyema ukatafuta pesa mkuu, hautaambiwa tena hayo mambo ya Mr Right, kweli nakuambia.

Sijaelewa point yako hapa hasa ninini ila ninaekuona ukiteseka ni wewe,so kwa akili zako kinachomfanya mwanaume aachwe ni kuwa maskini tu hakuna kingine?kwako wewe maisha ni pesa mapenzi ni pesa siyo!

Sijui umri wako but ushauri wangu rudi post #1 soma tena mstari kwa mstari neno kwa neno utamshukuru mleta mada baadae.
 


Nimemaliza kusoma what I was quoted, nikajiuliza.... hivi nilishawahi kuweka uzi wa kutafuta mwanaume humu..!! Maana uzee huu kumbukumbu si rafiki sikumbuki hata.

Well I love men na ntaendelea kuwa rafiki yao and nothing else.

Think 🤔 like a man 👨 Act like a woman 👩

Matata the K.
 
Usilie wew ulie achwaaa

Mume wa walio single yuko juu anaona.
Mume wa walio achika kwenye ndoa yupo juu anaona, atajibu kwa wakati wake.
Ivi unaweza kuomba mume mwema, ukapata mume wa mtu???? Au litakua jaribu?? Au ndo kupokea tulichoomba???
 
Sijaelewa point yako hapa hasa ninini ila ninaekuona ukiteseka ni wewe,so kwa akili zako kinachomfanya mwanaume aachwe ni kuwa maskini tu hakuna kingine?kwako wewe maisha ni pesa mapenzi ni pesa siyo!

Sijui umri wako but ushauri wangu rudi post #1 soma tena mstari kwa mstari neno kwa neno utamshukuru mleta mada baadae.
Nimemuelewa sana mtoa post. Kitu cha muhimu kwenye ndoa ni mtu kuchukuana na mtu wanao fanana tabia na focus za maisha, na sio kuwahi kuolewa.
Mungu kaumba diverses, kama mwanaume mwingine anataka mwanamke mdogo sana, kuna mwingine anataka mwanamke mkubwa.
Waacheni wanawake waolewe pale wanapokuwa tayari na wanapokutana na wanao fanana nao. Kukimbia kimbia eti umri ni ujinga.
Huyo mtoa post either atakuwa kaachwa or atakuwa kaoa mwanamke asiempenda, sasa anaona yule anaempenda yuko 30's haolewi anajaribu kuponda ponda
 
Back
Top Bottom