Unmarried and over 30 looking for "mr right"

Ila kwan mbona wanaume pia mna matatizo tena chungu nzima ? Why usifundishe jinsia yenu ambayo ndo cause ya matatizo yote haya
Ni obvious haujanifuatilia kwa makini mkuu, jana nimewasema wanaume kwa tabia yao ya kuiga iga kupiga magoti mbele ya mwanamke wanapomvalisha pete.

I nailed them men straight in the head bila kumungunya maneno, leo am on ladies hii thread ya kwanza bado mbili kwa usiku wa leo dose ya kesho itakuwepo kama kawa usikose. Upendeleo ?., no I do no such thing.
 
Ni kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.

Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"

Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.

Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!

Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.

Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr right".
😂😂😂 asante Andie. Ila nyuzi nyuzi zako wiki hii! Dah,hatare....wanakuja.
 
Oooh sawa u need to a motivational speaker ili uimpart knowledge kwa vijna
Ni obvious haujanifuatilia kwa makini mkuu, jana nimewasema wanaume kwa tabia yao ya kuiga iga kupiga magoti mbele ya mwanamke wanapomvalisha pete.

I nailed them men straight in the head bila kumungunya maneno, leo am on ladies hii thread ya kwanza bado mbili kwa usiku wa leo dose ya kesho itakuwepo kama kawa usikose. Upendeleo ?., no I do no such thing.
 
Usilie wew ulie achwaaa

Mume wa walio single yuko juu anaona.
Mume wa walio achika kwenye ndoa yupo juu anaona, atajibu kwa wakati wake.
 
Ila ni kweli, ujinga ndio unawapoteza wengi.
Kujifunza yawapasa.
Hawawezi kunilaani zaidi kama yuko mwenye akili atanishukuru. Soma uzi upya utaona wana mengi ya kujifunza ila uwasilishaji wangu natumia lugha ya mamlaka sina kuremba mkuu.
 
😂😂😂 asante Andie. Ila nyuzi nyuzi zako wiki hii! Dah,hatare....wanakuja.
Mkuu hizi nyuzi maususi kwa kushona maadili yaliyoporomoka naona ukisasa unatuharibia jamii.
 
Uzi wa kibabe sana huu.. jaribu kupunguza ukali wa manenooo .. me nawatetea bado wana mudaa
Ni kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.

Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"

Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.

Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!

Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.

Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr bla bla bla".
 
Wewe kaka tafuta hela, achana na kulalamika. Hao wanaokuambia wanatafuta mr Right wanakudanganya, anaetafutwa hapo ni yule mwanye akili ya kutafuta pesa tu. Hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
mkuu naitisha kikao PM ili kumaliza ugomvi wako na hawa mashangazi, wasije kukulaani bure
Mkuu ni bahati mbaya hunijui humu mimi nina hulka ya kusema ukweli mchungu na ndo maana hata thread zangu hua zinafutwa. The society has been pilled kushabikia ujinga ikitokea ukawa msema kweli utapigwa vita ila fresh maana nafanya jambo sahihi kusemea jamii inapopotoka.

Unajua jamii haipendi kuambiwa ukweli hivi hapa nimetoka kwenye ban ya miezi 6 kutokana na post zangu.
 
Hili simango hata lile la mzaramo lililomuangusha injinia juzi halitii mguu
Mkuu seyayi, si bora mtu alieanguka kwa simango, ungezeko ya devorce wewe unaliona ni jambo jema ?! Au ongezeko la wanawake kuzaa na kulea wenyewe vipi ni zuri ?! Sasa simangn langu linakusudia kuepusha hayo, je pana ubaya hapo.
 
Si umtumie tu sms kwa simu yake mkuu,huku ataona kwel?
Tehe heee
Mkuu ni bahati mbaya hunijui humu mimi nina hulka ya kusema ukweli mchungu na ndo maana hata thread zangu hua zinafutwa. The society has been pilled kushabikia ujinga ikitokea ukawa msema kweli utapigwa vita ila fresh maana nafanya jambo sahihi kusemea jamii inapopotoka.

Unajua jamii haipendi kuambiwa ukweli hivi hapa nimetoka kwenye ban ya miezi 6 kutokana na post zangu.
 
Wew toka uanze kutafuta uko na hela ngapi?
Wewe kaka tafuta hela, achana na kulalamika. Hao wanaokuambia wanatafuta mr Right wanakudanganya, anaetafutwa hapo ni yule mwanye akili ya kutafuta pesa tu. Hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Wewe kaka tafuta hela, achana na kulalamika. Hao wanaokuambia wanatafuta mr Right wanakudanganya, anaetafutwa hapo ni yule mwanye akili ya kutafuta pesa tu. Hayo mengine ni mbwembwe tu.
Nitafute hela mara ngapi mkuu ?! Nimeshatafuta hela, na nimeshaoa miakaa kadhaa iliyopita and my article doesnt sound lile "nalalamika"

Ila loveness78 unaposema nitafute hela naingiwa na shauku right ungepata kunijua kialisia ili unilinganishe na baba yako plus mume wako oooh huna mume, pole ok plus madanga yako yote, ujumlishe vijisenti vyao wote combined against me alone, afu tuone je bado ungeniambia "nitafute hela" ?! Yani unadhani wote hapa jf ni kama viboyfrend vyenu visivyo hata na nauli ya kuwapa baada ya kuwala uroda ?!.
 
Ni kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.

Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"

Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.

Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!

Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.

Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr bla bla bla".
Dah! Aisee! Huu ni ukweli mgumu sana kuukubali.
Umechoma mkuki mioyoni mwa wengi sana brother.

Kuna hatua ukifika, unatumia nguvu nyingi na kubwa sana kumtafuta mume.
 
Hakika na hua wanajifunza somo muda ukiwa umewapa kisogo.
Kweli kabisa; yaani kitaani kumecharuka sana. Nayaona mtaani na nawacheck hata ma-ex wangu niliopita nao enzi hizo.

Kiukweli competition imekuwa nzito sana kwenye hii sector. Kila mmoja anahitaji ushindi.
 
Back
Top Bottom