Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
Nilikua nasikia kama hadithi za kusadikika vile.......lakushangaza ni kweli.
Jamaa yupo bomba mbaya ila analalama kila akimtokea demu anamjibu ' Usinidanganye na uzuri wako huo usiwe na mtu' jamaa kwa sasa anahenya mbaya just to get one for his entire life....
Ajitume vipi jamani?
Hata Madame B amemtosa!!?? basi aende kwa babu Bagamoyo
Last edited by a moderator: