University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Bora usome hata hiyo Baest ipo vizuri ila bast utasafa sana mtaani maana ajira zake nyingi ni Serikalini na Kwenye organizations ila sasa kutoboa ni mtiti kama huna connections kwenye hizi organization.

Economics ni nzuri both private and govt
Shukrani
 
Maslahi ya watumishi yakoje pale mfano Tutorial Assistant?
Kuna posho yeyote nje ya mshahara?
 
Wakuu, Mwana-UD yeyote anaesoma Physical Education hasa Mwaka wa pili anichek PM.

Kuna zoezi lake la Faida.
 
UDSM kuna shida gani Alumni of the Month anakaa kwa page official miezi 3, na watu wanaoshughulikia website ya chuo wapi na wanaokula mshahara. Yaani vitu vingi vimepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom