University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,739
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,739 2,000
Ndugu wanajamii Forums nimeamua kuanzisha thread hii Mahususi kwa University of Dar es salaam yaani kiufupi kila kitu kinachohusu university of Dar es salaam.
Nimeamua kuanzisha mimi kama Mwana chuo kikuu cha DSM. Naombeni Ndugu zangu MODS msiifute Hii Thread Ahsanteni sana!

Kwa Kushirikiana na Wanazuoni wengine toka udsm tutaweka na tuta-update baadhi ya taarifa muhimu toka chuo hichi kongwe kwa kadri taarifa itakavyohitajika na jamii

Tunaomba Ushirikiano Wenu!

Nembo ya Chuo!

upload_2017-4-28_12-15-54-png.502120

Business School
upload_2017-4-28_12-17-41-jpeg.502121
 
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
4,815
Points
2,000
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
4,815 2,000
Weka Hadidu za Rejea..!

Kila kitu maana yake nini
 
HR 666

HR 666

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Messages
4,000
Points
2,000
HR 666

HR 666

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2016
4,000 2,000
Biobenga

Biobenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Messages
401
Points
1,000
Biobenga

Biobenga

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2014
401 1,000
Mkuu wahandisi wengi upeo wa kufikiri ni mdogo sana... " Wao wanajua kumeza na kukariri hesabu tu... sasa unavomwambia aweke Hadibu na Rejea hapo umempoteza kabisa.... :)
Wewe ndio mwenye upeo mdogo wa kufikiri kwa kuwa unahusisha lugha na upeo wa kufikiri.
 
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,739
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,739 2,000
Mkuu wahandisi wengi upeo wa kufikiri ni mdogo sana... " Wao wanajua kumeza na kukariri hesabu tu... sasa unavomwambia aweke Hadibu na Rejea hapo umempoteza kabisa.... :)
kilaza namba moja JF hesabu hatukariri sisi ndio watu tunaotumia uelewa zaidi kuliko nyie wa hadidu za M.A.T.A.K.O
 
Paprika

Paprika

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Messages
6,027
Points
2,000
Paprika

Paprika

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2017
6,027 2,000
Hiki chuo ni wezi sana!!!
Wamewafanyia ujambazi wanafunzi wa postgraduate.
Yaani wakati wanaanza chuo ada ilikua kiasi fulani (tuseme milioni 3)... karibia watu wnafika mwishoni eti wanasema walikosea ada na wameongeza zaidi ya milioni moja...
Sasa pigia picha mtu kashapumua kua kamaliza kulipa milioni tatu zake alafu leo umwambie eri bado anadaiwa... Na kirahisi kabisa wanasema walikosea!!!
 
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,739
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,739 2,000
Hiki chuo ni wezi sana!!!
Wamewafanyia ujambazi wanafunzi wa postgraduate.
Yaani wakati wanaanza chuo ada ilikua kiasi fulani (tuseme milioni 3)... karibia watu wnafika mwishoni eti wanasema walikosea ada na wameongeza zaidi ya milioni moja...
Sasa pigia picha mtu kashapumua kua kamaliza kulipa milioni tatu zake alafu leo umwambie eri bado anadaiwa... Na kirahisi kabisa wanasema walikosea!!!
Hahahaa wazungu wanasema Lack of Money is the source of all Evil
 
Forum statistics

Threads 1,334,611
Members 512,062
Posts 32,481,454
Top