University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Mzee Punch alikuwa kiboko. Masikini wasichana walikuwa wanaogopa kuja kunywa chai ya saa kumi pale Havard.

Lakini ule ulikuwa unyanyashaji wa kijinsia, au vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee punch na kundi hakuwa kiboko tu kwa udsm tu bali hata kwa serikali ya wakati ulee...walishampunch mzee mkubwa ubaoni ikaleta shida sana mpaka wazee wa farasi mweupe wakafika kuchunguza hao punch ni kina nani..
 
Wazee mlioko CoNAS nauliza Professor Magingo yupo? Alikua mkuu wa College kipindi flani, anatoka Department ya Microbiology and Biotechnology
 
Hivi kati ya udsm b.comm in accounting , na ARU BAF , wapi pako safi kwa accounting Studies ?
 
Haya sasa tukutane hapa wote ambao tunasoma, tumewahi soma chuo kikuu cha Dar es salaam tufanye ku share uzoefu wetu tukiwa pale na baada ya kutoka pale,
UDSoL-UDSM School of Law

CoET-College of Engeneering and Technology

CONAS+College of Natural and Applied science

SOED-UDSM School of Education

COSS-College of Social Science

COHU-College of Humanities

CoICT-College of Infonmation And Comminication Technology

SJMC-School of Jounalism and Mass Communication

SOH-UDSM School Of Health

UDBS-UDSM Business School

CoAF-College of Agriculture And Fisheries

IDS-Instute of Development Studies

IKS-Institute Of Kiswahili Studies


karibuni......sana
Yaah actually am feelling proud sana kwa mtu aliyeweka hii thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wanajamii Forums nimeamua kuanzisha thread hii Mahususi kwa University of Dar es salaam yaani kiufupi kila kitu kinachohusu university of Dar es salaam.
Nimeamua kuanzisha mimi kama Mwana chuo kikuu cha DSM. Naombeni Ndugu zangu MODS msiifute Hii Thread Ahsanteni sana!

Kwa Kushirikiana na Wanazuoni wengine toka udsm tutaweka na tuta-update baadhi ya taarifa muhimu toka chuo hichi kongwe kwa kadri taarifa itakavyohitajika na jamii

Tunaomba Ushirikiano Wenu!


Nembo ya Chuo!

View attachment 502120
Business School
View attachment 502121


Uchangudoa na utoaji mimba kiholela umeisha hapo Sodoma?
 
Back
Top Bottom