University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,937
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,937 2,000
Ndugu wanajamii Forums nimeamua kuanzisha thread hii Mahususi kwa University of Dar es salaam yaani kiufupi kila kitu kinachohusu university of Dar es salaam.
Nimeamua kuanzisha mimi kama Mwana chuo kikuu cha DSM. Naombeni Ndugu zangu MODS msiifute Hii Thread Ahsanteni sana!

Kwa Kushirikiana na Wanazuoni wengine toka udsm tutaweka na tuta-update baadhi ya taarifa muhimu toka chuo hichi kongwe kwa kadri taarifa itakavyohitajika na jamii

Tunaomba Ushirikiano Wenu!


Nembo ya Chuo!

1511273_upload_2017-4-28_12-15-54.png

Business School
1511274_upload_2017-4-28_12-17-41.jpeg
 
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,878
Points
2,000
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,878 2,000
****BACHELOR OF COMMERCE IN ACCOUNTING ***** wakuuuu hii course ipoje na upatikanaji wake wa ajirw ukoje wakuuu?????
 
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,937
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,937 2,000
Vijana wote watarajiwa wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2019/2020 karibuni sana UDSM, Nitakuwepo wiki zile mbili za Orientation, unaweza kunicheki ukitaka kupafahamu hapa vizuri!

Hongereni na Karibuni sana UDSM!

Khan!
 
di royal

di royal

Member
Joined
Apr 18, 2015
Messages
11
Points
45
di royal

di royal

Member
Joined Apr 18, 2015
11 45
Mimi nimefanya application ya masters UD 2019/2020...naomba kuunifahamishe kama matokeo yake yameshatoka
Vijana wote watarajiwa wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2019/2020 karibuni sana UDSM, Nitakuwepo wiki zile mbili za Orientation, unaweza kunicheki ukitaka kupafahamu hapa vizuri!

Hongereni na Karibuni sana UDSM!

Khan!
 
M

mbuyamore

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
36
Points
95
M

mbuyamore

Member
Joined Oct 25, 2018
36 95
Mimi nimefanya application ya masters UD 2019/2020...naomba kuunifahamishe kama matokeo yake yameshatoka
Tayari mkuu ili uyaone fungua account yako ya application utaona link imeandikwa selection results fungua hapo utaona admission letter na docs nyingine muhimu
 
The real Daniel

The real Daniel

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2017
Messages
550
Points
1,000
The real Daniel

The real Daniel

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2017
550 1,000
Hivi dirisha la maombi bado lipo wazi?
 
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
5
Points
45
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined Aug 21, 2019
5 45
samahan wakuu wanafunzi mwaka wa kwanza udsm n lazima kukaa hostel?
 
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
5
Points
45
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined Aug 21, 2019
5 45
samahan hivi kuna uwezekano wa kubadilisha kozi mfano kutoka B of education in administration kwenda human resources management
 
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
5
Points
45
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined Aug 21, 2019
5 45
samahan ivi kuna uwezekano wowote wa kubadilisha kozi? maana nmechagul kozi ambayo nliwek 5 choice
 
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
5
Points
45
Isaya Mwasikili

Isaya Mwasikili

Member
Joined Aug 21, 2019
5 45
wadau ivi kuna uwezekano wowote wa kubadilixha koz(bachelor)kutoka koz moja kwenda nyingne
 

Forum statistics

Threads 1,342,563
Members 514,702
Posts 32,755,722
Top