vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 868
Unajua kukatisha watu tamaaUsimpe moyo, Hapo hajapata , hapo ajiandae na jibu la Sorry
Unajua kukatisha watu tamaaUsimpe moyo, Hapo hajapata , hapo ajiandae na jibu la Sorry
uhalisia ni upi?Mbna wenzako wamejibiwa .. basi subiri huenda ikawa wewe bado hujajibiwa
Umepata chuo kijana ambao wamekosa ndo wamewa alert mapema.uhalisia ni upi?
Umepata chuo kijana ambao wamekosa ndo wamewa alert mapema.
HONGERA SANA
tayarnaona empty bado. sioni lolote
wewe ulikuwa na GPA ya ngapi diploma?Kuna mtu alotokea Diploma kachaguliwa Muhas???
Mara Appl systems huwa zinadelay kwenye force outcomes.Wewe jamaa utakuwa kuua mtu 🤓
Mara nyingi Appl systems huwa zinadelay kwenye force outcomes.Wewe jamaa utakuwa kuua mtu 🤓
Mimi niliowafanyia wote wenye dip, hakuna aliepata.Kuna mtu alotokea Diploma kachaguliwa Muhas???
Wakupewa moyo ni mfiwa tu, hawa wengine wanajimudu.Unajua kukatisha watu tamaa
Wakupewa moyo ni mfiwa tu, hawa wengine wanajimudu.
Binafsi sishauri mtu asiyekuwa na Div 1 ya point chini ya saba aombe Muhas,
Wastage of money, time na kujisababishia heart attack.





Mimi niliowafanyia wote wenye dip, hakuna aliepata.
Ndo maana anamwambia asubiri mbona watu mnapenda kufanya maisha yawe magumu.. Unapenda kumvunja moyo mwenzio.. Sio fineUsimpe moyo, Hapo hajapata , hapo ajiandae na jibu la Sorry
3+ ila mmoja alikuwa na 4.2 ya CO mwaka 2013.Vipi GPA zinaridhisha??
Sawa niuwie radhi 'white'Ndo maana anamwambia asubiri mbona watu mnapenda kufanya maisha yawe magumu.. Unapenda kumvunja moyo mwenzio.. Sio fine
MSAADA TAFADHARItayar
Tatizo linaweza likawa kwenye ufaulu wao wa O'level ndo umeleta ushindanizaid..3+ ila mmoja alikuwa na 4.2 ya CO mwaka 2013.
Sawa kijana, kikubwa tupeane mioyo tu japo mambo ni magumu kiukweli tusije tukapotezana wengine hawakawi kujinyonga humuSawa niuwie radhi 'white'
3+ ila mmoja alikuwa na 4.2 ya CO mwaka 2013.