Capybara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 241
- 140
Cha msingi ni kunywa maji mengi na kushusha pumzi maisha yaendelee,kwa wale wa Diploma turudi tu kwenye soko la ajira tupambane.
Ndo maana anamwambia asubiri mbona watu mnapenda kufanya maisha yawe magumu.. Unapenda kumvunja moyo mwenzio.. Sio fine

