Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Mwenye division two PCB kama umechaguliwa muhimbili nyoosha mkono
Mwenye division two PCB kama umechaguliwa muhimbili nyoosha mkono
Asante kwa uchambuzi. Division one ya TISA ya PCB au ya CBG huyo alieachwa????Wewe unasema division two wakati watu wana one za 9 wameachwa
Asante kwa uchambuzi. Division one ya TISA ya PCB au ya CBG huyo alieachwa????
MUHAS mbona majibu hatuyaon, au kuna ishara ktk profile??Je kuna haja ya mtu ambaye amekosa first round
MUHIMBILI afanye 2nd round kweli???????
naona empty bado. sioni loloteInamaana MUHAS washaachia majina?
mbona hatuoni majibu ktk profile zetu?ni balaaa kaka (st francis nimekosa jana, muhas pia leo nimekosa) naanza kujiiishi ni mtu mwenye gundu sana.
mbona hatuoni majibu ktk profile zetu?
numefungua lakin sion kitu.Angalia kwenye account yako .wameshajibu
chuo gani umefungua??numefungua lakin sion kitu.
numefungua lakin sion kitu.
sioni lolote nmeingia humoAngalia kwenye account yako .wameshajibu
ina maana gani??Shusha hadi chini utaona ujumbe hapo ..
Hapo maana yake hujapata.ina maana gani??View attachment 1590737
ina maana gani??View attachment 1590737
Usimpe moyo, Hapo hajapata , hapo ajiandae na jibu la SorryMbna wenzako wamejibiwa .. basi subiri huenda ikawa wewe bado hujajibiwa
Usimpe moyo, Hapo hajapata , hapo ajiandae na jibu la Sorry