University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Kuna mdogo Wang ana division two ya point kumi (PCB) .nilimuombea nursing UDOM.. sasa Sijui Kama atapata maana huko St Francis university of health and allied science amekosa MD.
hapati
 
Kuna dogo nilimuombea Mzumbe, hivi wameshatoa majibu!?
 
Sikilizia second round,unaweza pata kimoja wapo ngoja kwanza waconfirm hao walobahatika kuchagulia round I
Mara chache MUHAS kuchukua round 2. Wao inakuwaga 1 tu unless kuwe na wachache wasiokwenda kuripoti na hyo inakuwa ni nadra sana.
 
Kuna njia moja simple sana ya kupata course ya MD chuo chochote kile, ila iyo njia wengi wanatoka form six hawawezi kuijua wala wanaotoka diploma wengi hawawezi kuijua,
 
Kabisa vinakuwaga na ushindani sana labda tokeo liwe vizuri ndo unaweza toboa
Hivi vyuo vya afya vya serikali kama kwenu kuna hela na ulifaulu vizuri..sio vya kushughulika navyo kabisa...ni heri uombe vya private....
 
Kwa Form six zinafikaga hadi round 3 ila kwa wanaotokea Diploma nafasi zinajaaga mapema
Mara chache MUHAS kuchukua round 2. Wao inakuwaga 1 tu unless kuwe na wachache wasiokwenda kuripoti na hyo inakuwa ni nadra sana.
 
Back
Top Bottom