University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Unapata, ila wanaangalia ada za public university. Mf MD UDOM ni 1.8M alafu chuo uendacho ada 2M ukipata 100% itabid uongezee 200k
kozi za afya mkopo maximum ni 3.1m, kwahiyo ukipata 100% katika chuo ambacho ada ni 3.7m unaongezea 600k.
 
Mimi niliomba sua sasa nikifungua account wanasema ni continue na application by clicking next button afu ata iyo next msaada plz button haionnekani

Ulisubmit maombi yako kweli mkuu ? Maana kama wamekwambia ucontinue na maombi yako ina maanisha huku maliza kufanya maombi na next button nadhani haionekani kutokana na dirisha la maombi kufungwa kwaio system imestopishwa
 
Hivi kwa watu walioomba Diploma katika hizi university kama UDOM n.k majibu nayo yanatoka tarehe ngap..
 
ayo yote yanayo tokeo n matatizo ya kmtandao 2 coz me kuna dg nilimuombea must naona wameweka hajachagulia nimewapigia kuwauliza kwanini hawajamchagua coz dogo ana kila sifa ya kuchaugulia chuon kwao wamenijb kua hamna chuo kilicho toa majina ya degree ukiona hvo n system inazngua 2 xo 2elendelee kusubr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom