Desert Lion
Member
- Sep 8, 2020
- 85
- 67
Uli confirm chuo ganiJamani msaada Mimi niliconfirm KCMC ila nilikuwa nimechaguliwa vyuo vingi ikiwemo sua. Sasa mkopo nimeangalia unasoma SUA Sasa nifanyaje ili uhamie KCMC msaada plzzz
Pole ulikuwa na GPA ngpmimi wamenitema round zote 3, nilisoma clinical medicine nikaomba MD na Course zinginezo ila wapi
KcmcUli confirm chuo gani
Wapigie KCMC wanaweza kukupa muongozo ilo linaweza kurekebishika kama uliconfirm KCMCKcmc
Samahani wadau,hivi kwa mtu ambae cheti chake kilichelewa kuwa certified na RITA na hakuweza kuendelea na corrections na dirisha likafungwa,Ina maana hawezi tena hata kuappeal au inakuwaje.Kwa mwenye kujua naomba anieleweshe.
Okay, ahsanteKu appeal utaweza hilo lipo wazi
Open hawakatai mwanafunzikuna mtu amechaguliwa open university yupo humu??


Mie nilienda kuulizia utaratibu tu... Wakaniadd mpaka kwenye group lao la first year MorogoroMkuu, unamnyong'onyeza mwenzio bwana.



Mkuu hiyo SIPA ndio nnWanajifanya wastaarabuView attachment 1624549
Mmmh.., jamaa Wana njaa ya wanafunzi😂😂Mie nilienda kuulizia utaratibu tu... Wakaniadd mpaka kwenye group lao la first year Morogoro![]()
SIPAMkuu hiyo SIPA ndio nn
Mkuu ungekuwa TIBA/COED ningekupa maujanja yote!! Kwa bahati mbaya Huko Social nilkuwa napaona tu Huko Humanity nimeenda nikiwa Finalist na watu hawapo!!!!Mkuu nipe... Maujanja ya msosi na mishe zingine UDOM.... Humanities and social science
Ulipata chuo batch gani..?Na ww mkuu wamekuandikia ivyo dah life is not fair kwa kweli![]()