


Kozi ganiKuna jamaa huyo tokea chekechea kasoma private mpaka advance private na tena HGK lakini ameramba mkopo![]()
Kapata chuo NIT sijui kozi gani lakin ni maswala usafirishajiKozi gani
Watu na mibahati yaoKuna jamaa huyo tokea chekechea kasoma private mpaka advance private na tena HGK lakini ameramba mkopo![]()
Mkopo ni bahati ya mtu, mid Jana account yangu ilikuwa imeandika wait for allocation, after few minutes wakabadlisha na kuniambia My application system is yet to be finalized, nisubili next batchesKapata chuo NIT sijui kozi gani lakin ni maswala usafirishaji
Tutapata next batch mkuuWatu na mibahati yao
Likewise....Mkopo ni bahati ya mtu, mid Jana account yangu ilikuwa imeandika wait for allocation, after few minutes wakabadlisha na kuniambia My application system is yet to be finalized, nisubili next batches
Ko tatzo ni nn mkuusio yako tuu
Hawajapata niniBado watu Kama elf 7000 Saba iv asilimia kubwa ya watu awajapata
Mkopo mkuuHawajapata nini
Ingawa bado wengi lakini wamesema watatoa kwa awamu hivyo ukikosa awamu hii subiri nyingineMkopo mkuu
6695 hizo ndo nafasi zilizobaki mkuuIngawa bado wengi lakini wamesema watatoa kwa awamu hivyo ukikosa awamu hii subiri nyingine
Na pia katika walioomba hao 90000 hiyo ilikuwa kabla ya matokeo kutoka hivyo hapo watapungua wale walioshindwa kupata nafasi ya kwenda degree
Unamaana gani6695 hizo ndo nafasi zilizobaki mkuu
Huwa na kawaida ya kuzidisha idadi, kutokana na wale second, third + students kushindwa kuendelea na masomo sababu ya kufeli6695 hizo ndo nafasi zilizobaki mkuu
6695 hizo ndo nafasi zilizobaki mkuu
54,000-47305=6695 nafasi zilizobaki za mikopo kwa first yearUnamaana gani
Sawa uhakika mkubwa kupata tusubiri jumamosi wamesema wanatoa awamu ya pili54,000-47305=6695 nafasi zilizobaki za mikopo kwa first year