Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Application commentKwanini kipi umekiona mpk unasema hayo
Yan hapo chuo kimeshamkubali na kimetuma tayari maombi yake TCU Yan hapo asubir majib ya neema2
Application commentKwanini kipi umekiona mpk unasema hayo
nakuja hapo mzeeNiko main campus naendelea kulisongesha
Karibu kijananakuja hapo mzee
Inamaana chuo kisipokukubali hakiwezi kutuma maombi yako TCU. Ukikubalika na chuo chuo kinatuma TCU for Approval bila shaka.Application comment
Yan hapo chuo kimeshamkubali na kimetuma tayari maombi yake TCU Yan hapo asubir majib ya neema2
Baada ya TCU kuapprove ndio wanakupa Selection status.Inamaana chuo kisipokukubali hakiwezi kutuma maombi yako TCU. Ukikubalika na chuo chuo kinatuma TCU for Approval bila shaka.
Nicheki nilikuwa hapo TIBA nenda kakutane na Dr G Mchonde mzee maisha safii sana!!!Nipe ramani mkuu.. nimepata MD hapo udom
haya mambo yanahitaj connection kuna dogo nlimfanyia application round ya kwanza alikosa vyuo vyote but kuna mdau humuhumu jf kanisaidia round ya pili dogo kapata vyuo vyote vinne alivyo apply na ana GPA ya 3.2Mkuu km una gpa above 3.5 huwez kukosa chuo sasa hujui watu wanaweza kukusaida vp
Ni kweli ulisemalohaya mambo yanahitaj connection kuna dogo nlimfanyia application round ya kwanza alikosa vyuo vyote but kuna mdau humuhumu jf kanisaidia round ya pili dogo kapata vyuo vyote vinne alivyo apply na ana GPA ya 3.2
humu jf kuna kila aina ya connection inayo hitajika so nikua humble 2Ni kweli ulisemalo
Nina jamaa yangu tumealiza nae Mwaka huu
Kapiga 2.12 PCB
Round ya kwanza alikosa vyuo vyote alivyoomba
Ila Kuna jamaa kamfanyia Connection kapata Round ya pili Tena MD St Francis
Wenzake wenye 2.11wameachwa
Hii Dunia bhna
#Pesasabuniyaroho
Kwel kabsaaahumu jf kuna kila aina ya connection inayo hitajika so nikua humble 2
tujuane.mwambie ajifunze kauli njema kwa watu atafanikiwahaya mambo yanahitaj connection kuna dogo nlimfanyia application round ya kwanza alikosa vyuo vyote but kuna mdau humuhumu jf kanisaidia round ya pili dogo kapata vyuo vyote vinne alivyo apply na ana GPA ya 3.2
wapigie tcuMsaada wenu ndugu zangu wa dharura
Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme kwa kuwa wanasema ameshapata chuo kingine,
otherwise aombe mipango wamuondoe kwenye selection, moyo wake wote upo aridhi na iyo course aliochaguliwa chuo cha aridhi ndio ilikuwa ndoto yake kusoma, na kesho ndio mwisho wa ku confirme chuo naombeni msaada wenu kwenye ili afanyaje ili aweze kupata chuo cha aridhi.
Msaada wenu ndugu zangu wa haraka.
Dah kuna dogo mmoja ana div 2.12 pcb ameachwa round zote na hata iyo st fransis ametemwa...Ni kweli ulisemalo
Nina jamaa yangu tumealiza nae Mwaka huu
Kapiga 2.12 PCB
Round ya kwanza alikosa vyuo vyote alivyoomba
Ila Kuna jamaa kamfanyia Connection kapata Round ya pili Tena MD St Francis
Wenzake wenye 2.11wameachwa
Hii Dunia bhna
#Pesasabuniyaroho
Nipo college ya humanities & social science mkuuMchonde mzima mkuu!?
Ni kozi zipi zinatolewa kwenye hii college..?Nipo college ya humanities & social science mkuu