Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Chukua agricultural business and economic utakuwa multipurposeKati ya course ya agicultural business and economic inayotolewa pale sua na bachelor of finance and banking ipi Bora kwenye upande wa ajira
Kwani uliomba kozi gan?Sasa si bora waweke ujumbe kamili kuwa nimekosa.. Siasa za nn tena
Ukijibiwa naomba unitag......1st year wenzetu kwa wanaojua namna ya kupata admission letter udsm atuelezee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] anataka kuleta masihara huyo bana eti sio tumainiAcha masihara bhasi.
Hii ni tumaini tawi la dar.
Labda tumaini zingine tayari, ya dar bhado.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] pambavu!
Nilishapaniki ujue.
Hongera dogo kapambane na pathology sasaYeah UDOM bosi.. wamejibu leo View attachment 1615514
Daaah![emoji3][emoji3] anataka kuleta masihara huyo bana eti sio tumaini
Mm wakitoa PDF tu ndo ntajihakikishia kuwa nimekosa kabisa
Si tayari washafungua [emoji848]Man wakifungua 3 Rd weka extension izo coz zingine capacity ya equivalent Ni ndogo.
Kweli kjna, nimeona vijana wangu wachache wamechaguliwa extension.. Me sikuiweka kakaMan wakifungua 3 Rd weka extension izo coz zingine capacity ya equivalent Ni ndogo.
SUA bado dirishaSi tayari washafungua [emoji848]
Sasa mkuu naomba uzoefu wako kuhusu application hapo sua..Man wakifungua 3 Rd weka extension izo coz zingine capacity ya equivalent Ni ndogo.
Kweli kjna, nimeona vijana wangu wachache wamechaguliwa extension.. Me sikuiweka kaka
Daaah.. Nitaweka tu aseeh..Yan iyo coz n Kama general tu mkuu masomo mengi tunashare menilitaka kuchange nikaona Amna kitu kipya..
Mkuu usikate tamaa nilipata 3rd na loan 1 batch na SUA ext ndotulikuwa wa Kwanza kupewa mkopo.
Sasa mkuu naomba uzoefu wako kuhusu application hapo sua..
Kwann hawaleti ujumbe was kukosa au kuchaguliwa..?
hongera sana kijanaDaaah!
Ningeanguka chini.
Nashukuru nimechaguliwa Sheria.
ufaulu wako upojeDaaah.. Nitaweka tu aseeh..
Round Iliyopita niliweka kozi za kibabe tupu So naona kimya wakat matokeo tangu yapo conc tu
Hautakusaidia maishaniufaulu wako upoje
Hautakusaidia maishan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una moyo sana mkuuHautakusaidia maishani