University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

weka na private na vyuo visivyokuwa na majina unaweza kubahatishaaa

kuna mshikaji wangu alikosa MD akarudi kupiga CO mwaka wa kwanza alivo maliza mwaka wa pili viwango vya kupokea MD vmeshushwa kidgo anaenda kuanza MD kairuki pale kaachana na CO
 
Kazi kwenu
Screenshot_20201024-095147_Telegram.jpg
 
MATOKEO OFFICIAL YA SECOND ROUND YANATOKA TAREHE 29/10/2020 BY TCU
 
Back
Top Bottom