Weka screenshotWale wa Muhas naona mambo yashaanza kutema
Weka screenshot
Mambo tayari mkuu si utani,kama umeapply huko fanya uangalie
walete feedbacksHii ni kweli asee ingieni kwenye akaunti zenu muone
Waposti screenshot
Unauliza au unatoa taarifa..?Guys iringa university tayari washatoa second selection
washatoa mkuu ingia kwa account yakoUnauliza au unatoa taarifa..?
Kama una PDF weka hapa
Nilidhani wameweka na PDFwashatoa mkuu ingia kwa account yako
Hii ni kweli asee ingieni kwenye akaunti zenu muone
Nilidhani wameweka na PDF
Ndo nazisubiria hizoKuanzia kesho watatoa PDF
iringa university io ila ngoja nisubiri vyengine kesho
ndo mm mwenyewe nashangaa ngoja kesho ndo tutajua mbivu na mbichi. hapa vimebaki vinneInama multiple option haiji adi vyuo vingine vitoe pia.!
Wasubiri wajuba waje watoe infosSua vipi wakuu
Naaam mkuu ngoja wajeWasubiri wajuba waje watoe infos