Wakuu habari zenu...
Hivi Kuna priority yoyote ambayo vyuo huwa inatoa katika mchakato wa kuchagua wanafunzi waliokosa Katika first round??
Let's say Kuna mtu aliomba katika first chuo flan lakin hakupata hivyo anasubiri awamu ya pili.... Thn mwanafunzi mwingine ambaye hakuomba first round akaomba katika second round na anavigezo sawa na yule aliyeomba first round,
Je katika mchakato wa kuchagua wanafunzi hawa wote wawili watakuwa na the same priority au Chuo Kitamconsider yule aliyeomba katika awamu ya Kwanza?