Capybara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 241
- 140
Mbivu na mbichi zishajulikana hapa kutachangamka tena second round
Uzi umepoaa...
Uzi umepoaa...
Dah aisee....mimi niliomba DIT diploma lakini sielewi...sijui majibu yashatoka ..au bado...nikiangalia nakuta amna kitu chochoteMbivu na mbichi zishajulikana hapa kutachangamka tena second round
Dah aisee....mimi niliomba DIT diploma lakini sielewi...sijui majibu yashatoka ..au bado...nikiangalia nakuta amna kitu chochote
Mwenye PDF ya sua nimtajie jina anichekie
Taaarifa!
Me ninayo...Mwenye PDF ya sua nimtajie jina anichekie
Jamani Mimi nimechaguliwa vyuo vinne, sua ,kcmc ,bugando, na Kampala na code number nimepewa Ila nikiingiza pale inagoma na niliomba pale ingine naambiwa Mimi Sina multiple selection. Msaada tafahali nachanganyikiwayaah
Mkuu vipi lkn sua walikuchagua?Daaah nmeshndwa Ku log in ...kweny account ya mzumbe kila nikiweka username na password vnagoma ......kwa anaejua anisaidie
Yaaah mkuu ...pia walinitumia text leoMkuu vipi lkn sua walikuchagua?
Diploma wengi waliomaliza this year hawakuomba dirisha LA kwanza kwa sababu ya matokeo.. Wanasubiria drsha LA piliwakuu kuna walio tokea diploma wachaguliwa??? coz naona 95% wamepigwa chin tatizo n nin?
Kuna walioomba dirisha la kwanza na hawajapata hivi selection Zina upendeleo Sana, Ina maana diploma hawana hakiDiploma wengi waliomaliza this year hawakuomba dirisha LA kwanza kwa sababu ya matokeo.. Wanasubiria drsha LA pili
Diploma 99% hawajachaguliwa kwenda chuo kikuuwakuu kuna walio tokea diploma wachaguliwa??? coz naona 95% wamepigwa chin tatizo n nin?
Vyuo gani hvyo..?Diploma 99% hawajachaguliwa kwenda chuo kikuu
Jaribu j3 bossKuna walioomba dirisha la kwanza na hawajapata hivi selection Zina upendeleo Sana, Ina maana diploma hawana haki
Najaribuje ndugu yangu kakosa chuo aiseeJaribu j3 boss
usichoke kupambana
Vyuo vingi tu waliopata asilimia 100 ni waliotoka form six tuVyuo gani hvyo..?
usjal dada ang..nina hakika utapata second round..so relax ok?Najaribuje ndugu yangu kakosa chuo aisee