University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Kuna walioomba dirisha la kwanza na hawajapata hivi selection Zina upendeleo Sana, Ina maana diploma hawana haki

Diploma wengi wanaangalia matokea ya O level, na pia course iwe relevant, usisahau GPA pia..
 
GPA kubwa tu halafu wanaangaliaje olevel wakati mtu alianza certificate, waache kunyima watu nafasi
 
Shida sio olevel, maana wengine wameanza certificate,then diploma na qualifications ni kuanzia GPA ya tatu. So hyo ya olevel doesn't make sense
inategemea na kozi uliyoomba waliweka vigezo gani, Kuna kozi zimesema wazi GPA inayotakiwa na pass mark za Olevel
 
Nafasi za diploma zinakuwa chache, vyuo vinaweka kipaumbele kwa wale wanaotoka kidato cha 6. Katika mchakato wa kuchagua waliotokea diploma kama wamefungana kwa GPA wataangalia zaidi matokeo ya form 4, yule mweneye matokeo mazuri atapewa kipaumbele.
 
Matokeo yake mazuri na GPA pia, hyo ya kusema vyuo wanachagua Sana form six nakubaliana na wewe Ila hawatendi haki kwa equivalent, maana vyuo vyote form six ndio wamepata vyuo Sana na diploma ni Sijaona sana
 
inategemea na kozi uliyoomba waliweka vigezo gani, Kuna kozi zimesema wazi GPA inayotakiwa na pass mark za Olevel
GPA sio shida, maana naona vyuo waliotoka advance ndio kiupaumbele sana
 
mfano una GPA kali, na secondary ulipiga fresh, ulinganifu kumdhidi wa ADVANCE , unahisi watakuacha!!??
 
Hapo tunaongelea equivalent, kwahyo waachwe maana selection nyingi nimepitia ni wa advance tu 9o percent, unafikiria wa diploma huwa hawasomj maana wale diploma ile ni pre degree ile tofauti na advance. So concern yangu why diploma hawakupewa nafasi zaidi. Ina maana wote hawakuwa na vigezo
 
Back
Top Bottom