costantine yohana
Member
- Dec 26, 2016
- 68
- 18
Kesho mapeeema
We umepata subiri ku confirm mzeeKwa mfano hii ...inakuaje mkuuView attachment 1594438
Ndo biashara imeishia hapo
NACTE kwa wale wa vyuo vya cafya vya serikali...sasa nazungumzia mtu aliyeoomba Diploma chuo kama DIT..selection wanatoa lini..maana kwa upande wa degree watu wa DIT washapata selection ila diploma majanga bado..na watu waliomba kitamboCheki NACTE
Waliopata wote wameambiwaKivip Walt Amna mpya kwenye acct
Screenshot tafadhali,,,,tusipeane presha leaderMNMA Tayari ishatema,ingieni ktk account zenu
Screenshot tafadhali,,,,tusipeane presha leader
Makn mkuuWe umepata subiri ku confirm mzee
Asante mkuuUshachaguliwa, subiri confirmation code tu.
Bado mzumbe,dit,tiaMambo tayari kila chuo kimetema
Dit kitambo sana toka janaBado mzumbe,dit,tia