Dembele 19
Member
- Sep 10, 2020
- 95
- 57
Kwamtu anayefahamu jinsi ya kuingia kwenye account yako ya application MUST naomba anielekeze
Mbona hayana course uliochaguliwa?
Ingia account yako, utakuta sehemu wameandika selection resultUdsm kwenye account hamna updates.
Nyie mmeonaje?![]()
Nimechaguliwa MUST course ya mechanical engineering ,nifanyeje ili niende DIT
Mbona hayana course uliochaguliwa?
Nimechaguliwa MUST course ya mechanical engineering ,nifanyeje ili niende DIT
Tangu jana hio imetokaUDOM mbona siipati
andaa kondom tu za kwenda kulia watoto wazuri kijanaWazeee nielekezeni kitu ,, University of Iringa kipoje nimepata BBA pale
TIA tayarBado mzumbe,dit,tia
UliomUliomba vingapi, na vyote umekosa kweli au unazuga watu tuTuliopigwa knockout vyuo vyote tulivyo apply karibu kwenye benchi tusubiri second![]()
I swear vile. Hv hapa wamemaanisha nn?UliomUliomba vingapi, na vyote umekosa kweli au unazuga watu tu
It seems ufaulu wako hautoshelezi mkuu, kwani matokeo yako hapo vipi mkuu..?I swear vile. Hv hapa wamemaanisha nn?View attachment 1594749
Nina div 2 ya mwanzo hkl na nina C ya math o levelIt seems ufaulu wako hautoshelezi mkuu, kwani matokeo yako hapo vipi mkuu..?
yap wap mbonaKuna mtu amechaguliwa SUA kutokea Diploma..?