Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,614
- 8,055
SUA mbona wengine awajawekewa feedback.
Yah manNdio wengine Bado sijui kwanini ..
Una uhakika amechaguliwa chuo zaidi ya kimoja ..? Kama ndio Basi subiri wataweka sehemu yaku confirm
pole sana. soma content yote mkuu,utailewaMkuu nieleweshe...
Samahani kwa ujinga wangu.
Wazee hivi kwa walioombaga diploma selection zinatoka muda gani ... Maana watu wanasubiria tokeoa walivyoomba mwezi wa sita kudadeki
Kufikia tarehe 12/10/2020 vyuo vyote vitakuwa vimetoa matokeo kwa mjibu wa kalenda ya TCU ya mwaka huu.Kama Kuna mtu aliomba udsm atume screenshot ya kwnye my application pale, maana Kuna mtu kanambia ukikuta kwnye my application unaambiwa ureapply ujue ndo umekosa hata km selection bado, sasa sijui Ni kwel
We hata kudanganya hujuiIsw tayari wakuuView attachment 1593907
Mkuu lala ukiamka utakuta mambo yako Bam BamWakuu mi niliomba SUA but wameleta ripot hii sasa sijui nimekubaliwa au View attachment 1594403
Kivp mkuu ...sijakuelewaMkuu lala ukiamka utakuta mambo yako Bam Bam
Mpaka kesho watakuwa tayari wamekuwekea kila k2Kivp mkuu ...sijakuelewa
Poa mkuu .....nashukuruMpaka kesho watakuwa tayari wamekuwekea kila k2
Ndo biashara imeishia hapoSUA mbona wengine awajawekewa feedback.
Kwa mfano hii ...inakuaje mkuuNdo biashara imeishia hapo
Ushachaguliwa, subiri confirmation code tu.Kwa mfano hii ...inakuaje mkuuView attachment 1594438