University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Udom jee wametoa.
Je na ile UDSM iliopo mbeya inayotoa MD nayo wametoa.
Vipi wale wa vyuo vya ualimu vya diploma nako kimyaaaa wametoa??????
 
Screenshot_2020-10-08-15-35-48_1.jpeg

Hawa MUHAS wanazingua sana
 
Nadhani itakuwa hivyo mkuu,ngoja tusubiri vyuo vingine
No.......hapo umekosa brother sikuvunji moyo but ndo ukweli since waliopata nafasi wote wamepewa feedback

Kama ulichagua chuo kingine kaangalie na kama umechaguliwa hakitaonesha kwamba una multiselection.

GOOD LUCKY
 
Back
Top Bottom