P Accountant
JF-Expert Member
- Sep 26, 2020
- 371
- 182
Itakuwa tatizo la kimtandao tu. Selection hutangazwa kwa pamoja kwa chuo, haiwezekani chuo kimoja wengine wapate new information halafu wengine iwe hamna kitu..Baadhi ya watu Dashboard zao hazijabadilika status haipo hii ina maana gani ?
Ondoa hofu kabisa, subili chuo husika kitangaze kupitia website yake.