Future neural surgeon
Member
- Apr 29, 2020
- 41
- 24
Imefanyaje
Kuweni na subira bado siku chache Kila kitu kitakuwa hewaniNa One yangu nmetoka kapa, nlishajihakikishia na maandalizi nlishafanya kabisa.
Siku nneBado siku moja....
Weka screenshot hapaSAUT check your account tayari huko
ScreenshotNIT majibu tayari kazi kwenu...
Mambo mengine uwe unayamaliza wewe mwenyewe kiume sio lazima uwekewe na ushahidi ingalikuwa bando unalo...unge log in chap kuangalia hapoScreenshot
Sijaomba NIT mieMambo mengine uwe unayamaliza wewe mwenyewe kiume sio lazima uwekewe na ushahidi ingalikuwa bando unalo...unge log in chap kuangalia hapoView attachment 1593381
Sawa sawaTIA jamani tayari
Tuzidi kusubili Mkuu, kweli kuna watu wanazingua na utani.Wakuu UDOM,MUCHAS&MUHAS vikiwa tayari mnitag wale wazee wa utani sitaki useng*
BadoTIA jamani tayari
MUHAS tayariiiiWakuu UDOM,MUCHAS&MUHAS vikiwa tayari mnitag wale wazee wa utani sitaki useng*




