Unique Sisters wako wapi siku hizi?

Members wawili wa Unique Sisters (mkubwa na mdogo kabisa) wanafanya kazi kwenye media kama ilivyo kwa kaka yao Ramadhani Tuwa, ila yule wa kati aliolewa na Mjapan na anaishi Japan, hii ni mojawapo ya sababu ya wao kuacha muziki, japo sababu nyingine kubwa inasemekana ni dhuluma iliyokuwepo wakati huo kwa media fulani ya wazee.wa fursa. Nimewahi kufanya kazi na mama yao Sango Kipozi na kaka zao wawili: Hussein na Ramadhani Tuwa...
Huseiyn Tuwa ,mtunzi mashuhuri Sanaa huyuu kaka
 
Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini?

Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan.

Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku hizi na anafanya nini?
Duuuu! Edit mada tuchangie
 
Waleee, wamekaa pale
 
Back
Top Bottom