MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,013
Weee nawe kuna mtaa unaitwa chumvini? Unataka kutukana tu saa hizi hebu kalale lol
ni chumvini au chuini ?
Weee nawe kuna mtaa unaitwa chumvini? Unataka kutukana tu saa hizi hebu kalale lol
ni chumvini au chuini ?
Chuini bhana hahahaha ati chumvini
umeona sasa kumbe nilichanganya chuini na chumvini ila yanaendana.
Hivi kwa nini mitaa mingi ya zanzibar inaishiwa na ni ??
Mkuu kule Unguja wewe wakalia wapi? Au wakalia Dole?
Ila Kiongozi magari ya shamba siku hizi hawaweki vibao sasa picha hiyo ulipiga piga vipi?Kiongozi kwahiyo sasa hivi upo Unguja?
Ukitaka chakula cha bara niambie nikuelekeze uende Kilimani, Unapotokea Kariakoo kwa kuelekea kiwanja cha Ndege kuna Skuli hapo ipite kisha kinafuata Chuo cha mafunzo ujue ndio umefika utapata vyakula vya kibara humo ndani
Chukwani!Lol nimeenda mpaka Chukwani
Ni mara yako ya kwanza kufika Unguja?Kuna majengo mapya kibao naambiwa kuna chuo cha kodi nk nk
Ni mara yako ya kwanza kufika Unguja?
Na je sehemu nyingine zipi ulizotembelea?
Kwa raju sipafahamu. Hebu mwaga data hapo kwa raju ni mgahawa au? pengine ni sehemu ninayoifahamu tatizo jina ndio geni.Hapana Unguja nimeenda sana tangu 2001 karibia kila mwaka nimeenda si chini ya mara nne, na nimeenda sehemu nyingi ikiwa ni pamoja na kisiwa cha Kobe! Kwa raju je unapafahamu?
Kwa raju sipafahamu. Hebu mwaga data hapo kwa raju ni mgahawa au? pengine ni sehemu ninayoifahamu tatizo jina ndio geni.
Nilifikiri ni mara yako ya kwanza, kumbe huwa unenda mara kwa mara.
Mbweni napo ushawahi kufika? Na kwenyewe kuna majengo mapya kibao.
Na je sehemu nyingine zipi ulizotembelea kwa ujumla?
Kiongozi sawa. NimekupataKwa raju iko karibu na ccm pia karibu na hotel ya executive, palikuwa maarufu mno kwa machangu na mashoga kwasasa pamekufa, mimi si bingwa wa kukariri majina mpaka nikumbuke