hahahahhhahahahah cc saudariiko kama mimi mie ni nyeupe
kwani wa hivi huwa wanaolewa?
Mdada upo?hapana olewa nani anataka njaa na matatizo ni kuwa na wasaini mikataba ya nchi tu.
Mume ni tumwa
Yako ya Mkorogo..
bado miezi nneMdada upo?
Ulishajifungua au bado bado?
kwani wa hivi huwa wanaolewa?
Ama kweli nimeamini kwamba ile simulizi ilikuwa na ukweli.bado miezi nne
kweli kabisa mie na mukorogo damu damu mukorogo high classic na ukiona hata hujui kama mimi napaka.
Nikishazaa naenda kuchoma sindano kabisa nachagua rangi ya Beyonce
kweli kabisa mie na mukorogo damu damu mukorogo high classic na ukiona hata hujui kama mimi napaka.
Nikishazaa naenda kuchoma sindano kabisa nachagua rangi ya Beyonce
Nakuaminia mama kijacho.
Uko tayari kupambana na Side effects zake? Kama zikija kusibu.(Usinielewe vibaya, wala sikuombei Mabaya)