Ungetoa Mahari Kiasi Gani Ili Umuoe?

Ungetoa Mahari Kiasi Gani Ili Umuoe?

Mie Natoa BAKORA YA BABU TU, YAANI URITHI WA BABU UNAMTOSHA wala hatakumbuka km kuna mahari tena.
 
Huyo ningetoa nguruwe 2 na bata mmoja, km angekuwa hausi gelo buku 10 ingemtosha, au we unasemaje
 
Mbona mimi sioni picha wakuu?! ama ndio yale mambo ya Abdu kwenye vile vitabu vya hadithi kipindi kilee!

..Kuwa asiye na dhambi tu, ndiye atakayeona hiyo picha...!

So ili kuonekana huna dhambi inabidi kukubali tu kuwa umeona!!

Mi sioni picha jamani!!
 
mwanangu kama ulikuwepo ungekuwa karibu ningekupa high five yaani umenigusa na kunitouch kwa neno lako ila pokea hii kiss mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ikufikie umenibariki mnooooooooooooo
Haluna lolote hapo.. Instagram hio am photoshop inamfanya kila mtu awe mzuri
 
hapana olewa nani anataka njaa na matatizo ni kuwa na wasaini mikataba ya nchi tu.
Mume ni tumwa

Na wewe ulikumbwa na wimbi la Liumba nini? Maana shida ya hao wasaini mikataba hukawii kuanza kunywa vidonge kila siku. Hayo matatizo unayoyakataa ndo sasa unayapata freshi
 
Inategemea unamwoa kwa ajili gani. Kama unamtaka awe mke huyu siye kwani anaonekana tu akili zake haziko kichwani ziko maeneo mengine. Hana tofauti na mdoli . Kwa kazi ya house girl hafai kabisa kwani tunahitaji wachapa kazi na siyo ma miss.
Conclusion: Hana lolote la kumzidi mke wangu ila wife kamzidi kwani hana tabia ya kusinzia kama huyu!!!!!
 
mbona ata housegirl wetu mzuri kushinda huyo jamani
 
Back
Top Bottom