Oooh sweetheart am sorry!May our Good Lord grant you the peace you're trying to find!!Uzi umenikumbusha mengi sana huu hadi machozi yamenitoka, nimefiwa na watu wengi lakini mtu ambaye sikupenda afe kabisa ni Mme Wangu, sijui kwanini mungu aliweka hili kifo, nikupitia hiki kifo hadi sasa hivi saa nane lakini nipo macho na usingizi sipati, miezi Tisa sasa imepita ya kipindi kigumu na changamoto ya kila sina, lakini naona nikama Jana tu, upumzike kwa amani huko uliko, sasa unaitwa baba faraja, ila atakapokua nakuniuliza mama yuko wapi baba sijui nitamjibu nini mwanao
Mm mwenyew sipend kufa sema tu ndo ivo ni mbinde inakubidi tuMim wangeuliza kabla ya kuja duniani kua kuna kuzaliwa na kufa ,ningekataa kuja duniani
Naogopa kufa ,najua ntakufa lakin sipendi kabisaa
Daah ambae sitamani afe kiukweli ni mam angu nampenda mnooo yaani[emoji173]
daaah usiniambie maneno haya unaisononesha nafs yangu ndo maan hili jamb likawa sir nampend san my mamaIla atakufa tu... je anajiandaaje? ..
uwiii mekuhamu za kupotezana mpendwa[emoji26] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji120]
Mie natamani lile limtu lingekufa ila ndio mijitu ya vile hata haifagi mapema[emoji57]
nami pia ndugu yangu ngoja tupitie pitie humu yaliyojiri[emoji8]Yote kheri... Nimefurahi kukuona tena
Ningetamani mimi nisife. Jipende nafsi yako kwanza.
Kifo ni mwanzo sio mchakato....kifo ni sanaaNingetamani kiboboso mimi nisifae [emoji24][emoji24][emoji24]