Ungetamani nani asife?

Pole sana ndugu
 
Nilitamani mnoo baba yangu asife ila kazi yake mola haina makosa.R .I.P my dady ....

Mapenzi ni matamu mno ukipata anaejua thamani ya mapenzi na moyo ikishibana ila mapenzi ya sasa haya ya kamali sidhani kama watu wana uchungu na mapenzi wao hivyo ww ukifa Leo mwenzio kesho ana kitu kipya hata wasiwasi hana .Mapenzi yalikuwa zamani lakini sasa tumebaki wachache tunaojua kupenda.
 
Ukifa hujui kama umeumizs watu sawa na mtu mjinga hajijui kama ni mjinga ila wanaojua ndiyo wanaoumia.
 
Pole dada, ni njia ambayo sisi sote tutaipitia including faraja
 
This year I lost my grandfather who used to hate my mother (at least in the eyes of the people). It did not pain me as it made no difference, he was not great to me though he was everything my father cared about. I had to attend the funeral to please and comfort my father as I wanted to extend the big support to my father. I got an opportunity to see my grandfather for the last salutation, I remembered some few staffs and words we used to exchange whenever we got time, but fine, its fine he is gone.
 
Bi mkubwa wangu maana ndo alikua rfk yngu wa kwl aseee na nahisi hata hizi changamoto zisingekua halali yangu aseee

RIP mom you still missed en loved
 
Kwanza natamani mim nisife halaf anafata

Mtoto wangu
Mama yangu

Wewe ndio pimbi kabisa yaani mama yako ndio wa3
Kwahio mwanao ni mbora kuliko mama yako aliokuzaa
Au ww ni bora zaidi kuliko mama yako
Mijitu mingine bana inaongeza nafasi za watu tu hapa duniani[emoji1321]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…