Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

nadhani hapa very romantic....just a suggestion
DSCN4799.jpg
Yelee.
TANMO yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ningetamani kutoka na mdada flani hivii humu ila nahisi amenizidi umri kitu inayonifanya niogope hapa kumtaja asije akanishushia makofi aisee .
 
Ayaaa kuna Mtu anataka kunipiku hapa..

kinani nani Aaah kiyuyo..hata sijui..🙁

Hapa ni kuzidiana dau..Ngoja nisikilizie kwanza 😉
 

jamani nishakimbiwa tena
huyu Ruttashobolwa huyu,hebu Excel njoo
habibty wangu unipoze!!


dont remind me of the past.. you broke my heart! i loved you so much, without noticing that you are somebody's wife.. and you didnt mind to tell me!.. just let it go! iam a

broken_heart.jpg



i just managed to recover some pains.. though not much!

533-god-can-heal-a-broken-heart.jpg


so please dont remind me about your love..

tumblr_ljd6o3OYoG1qiga5xo1_400.jpg
 
Sijachaguliwa! au kwa kuwa niko chizichizi kama diamondplatnumz?
 
Back
Top Bottom