Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Huyu hapa......

avatar73087_7.gif
CUTE
 
Da... Hii thread ya zamani sijui nitakayemtaja atakuwa kashewahiwa au Lah!!! Mi nammind THE BOSS..!
 
tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa jf ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana ungependa kutoka naye?

Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.
wanaume kwa wanume watatakana, wanawake kwa wanawake watatakana!true identity ni kitendawili how can this b possible!
 
tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa jf ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana ungependa kutoka naye?

Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.

nilimfundisha mama yangu kutumia jf wakati wa kufwatilia matokeo ya uchaguzi mkuu na nana uhakika kuwa ni member huku maana huwa nananiambia bado anasoma na kupost vitu huku na ukakika mwingine nilio nao ni kuwa dada zangu wote ni membere huku ila majiwa wanayotumia siyajui
 
Sijui hii ni hahati au balaa? Yaani hakuna hata mmoja anayetaka kutoka na Bra-joe?
 
i have few names, one or two to be certain, whom i think they have demonstrated the beauties of their minds, the quality i like the most.. ila nachelea kutaja hapa wataona UJIKO SANA..
 
Back
Top Bottom