Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

.....T mbona unataka kuniharibia na mahabuba wangu Baba Tuli jamani,alikua anamtengenezea Tuli maziwa akimaliza tu atakuja kufunga hapa.
I love u boo....usisikilize maneno ya TF mchonganishi.
Sweet heart lotion niko hapa
Achana na TF wivu mpaka kichwani
Mimi na wewe kama uji na mgonjwa
 
tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa jf ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana ungependa kutoka naye?

Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.

zinduna
 
Mama Tuli wangu uko wapi
Kuna watu wanakusema huku ina interest zangu zimekudondokea
Njoo bana huku

My boo achana na waosha vinywa mm nimeshamwambia TF atulie,hlf naona kuna watu wanaleta vidomo domo vyao sijui sugar mummy we waache tu.
 
My boo achana na waosha vinywa mm nimeshamwambia TF atulie,hlf naona kuna watu wanaleta vidomo domo vyao sijui sugar mummy we waache tu.

Hizi lugha nyengine huuuuh......inatuchanganya sie Waswahili tulokimbia umande
 
Back
Top Bottom