Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,211
Leo ni siku ya wanyama duniani! Kama tungeubwa wanyama ungependa kua mnyama gn? Na kwanini?
Ng'ombe jike.
Mmm, kwa nini?
Kuna mnyama anaitwa 'honey badger' sijui kwa kiswahili anaitwaje, mnisaidie. Ningependa kuwa huyo!
View attachment 38323
ningekuwa nakunywa maziwa yangu.
Ng'ombe jike.
Ng'ombe jike.
Kuna mnyama anaitwa 'honey badger' sijui kwa kiswahili anaitwaje, mnisaidie. Ningependa kuwa huyo!
View attachment 38323
ahahahaah!huyo anaitwa honey badger au rattle na kwa kiswahili anaitwa NYEGERE,huyu kiumbe ana umbo dogo lakini balaa lake kama sheikh aliyelishwa kitimoto.Kama unakumbuka ile movie ya The GODS must be crazy aliuma tairi la ndege ndogo mpaka likapasuka,huyu mdudu ni mbishi zaidi ya CHADEMA,inasemekana hata chui ili amle ni lazima ajipange kisawasawa,mi mwenyewe ningependa kuwa yeye!Kuna mnyama anaitwa 'honey badger' sijui kwa kiswahili anaitwaje, mnisaidie. Ningependa kuwa huyo!
View attachment 38323
Huyo ng'ombe jike atatoa maziwa baada ya ng'ombe dume kuwajibika au siyo?ningekuwa nakunywa maziwa yangu.