olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,577
ningekuwa nakunywa maziwa yangu.
ha ha hahaha
ningekuwa nakunywa maziwa yangu.
Huyo ng'ombe jike atatoa maziwa baada ya ng'ombe dume kuwajibika au siyo?
Chatu dume! Ningekutafuna hahahaha!!
Mmm, mwanao angekula nini sasa?
Dadangu usichanganye kuku wa kisasa na ng'ombe wa kisasa,ng'ombe ni lazima apandwe,mi mwenyewe mtoto wa mfugaji.wewe, wale wanatoa maziwa bila kuwajibishwa. Ngoja wafugaji waje.
Dadangu usichanganye kuku wa kisasa na ng'ombe wa kisasa,ng'ombe ni lazima apandwe,mi mwenyewe mtoto wa mfugaji.
Mmm, mwanao angekula nini sasa?
Leo ni siku ya wanyama duniani! Kama tungeubwa wanyama ungependa kua mnyama gn? Na kwanini?
ahahahaah!huyo anaitwa honey badger au rattle na kwa kiswahili anaitwa NYEGERE,huyu kiumbe ana umbo dogo lakini balaa lake kama sheikh aliyelishwa kitimoto.Kama unakumbuka ile movie ya The GODS must be crazy aliuma tairi la ndege ndogo mpaka likapasuka,huyu mdudu ni mbishi zaidi ya CHADEMA,inasemekana hata chui ili amle ni lazima ajipange kisawasawa,mi mwenyewe ningependa kuwa yeye!
ndio nyegere huyu. Kama mimi nilivyo, muziki wake ni noma tupu