Ungependa kua mnyama ngani?

Ungependa kua mnyama ngani?

Ningekua binadam hivihivi nilivyo
 
mi ningependa kuwa kobe yani cna haja ya kujenga nyumba natembea na nyumba yangu mwenyewe
 
Mimi ningekuwa kifaru na bithaa zangu adimu juu ya pua.
 
Back
Top Bottom