Ungependa kua mnyama ngani?

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,072
1,211
Leo ni siku ya wanyama duniani! Kama tungeubwa wanyama ungependa kua mnyama gn? Na kwanini?
 
Tembo, ningekuwa natoa kichapo hevi kwa wale wanaojifanya machi noo....
 
Kuna mnyama anaitwa 'honey badger' sijui kwa kiswahili anaitwaje, mnisaidie. Ningependa kuwa huyo!
honeybadger3.jpg
 
Simba dume. No hunting, no nursing, just "looking" after the females of my herd
 
hahahaha....kwanini ungependa kuwa huyu mnyama...wewe unawivu kama yeye...Nyegere mkuu.....huyu anawivu ile mbaya akiwa na jike....hata jani tuu likigusa ile sehemu...atalichakaza kabisa....
Kuna mnyama anaitwa 'honey badger' sijui kwa kiswahili anaitwaje, mnisaidie. Ningependa kuwa huyo!
View attachment 38323
 
Kuna mnyama anaitwa 'honey badger' sijui kwa kiswahili anaitwaje, mnisaidie. Ningependa kuwa huyo!
View attachment 38323
ahahahaah!huyo anaitwa honey badger au rattle na kwa kiswahili anaitwa NYEGERE,huyu kiumbe ana umbo dogo lakini balaa lake kama sheikh aliyelishwa kitimoto.Kama unakumbuka ile movie ya The GODS must be crazy aliuma tairi la ndege ndogo mpaka likapasuka,huyu mdudu ni mbishi zaidi ya CHADEMA,inasemekana hata chui ili amle ni lazima ajipange kisawasawa,mi mwenyewe ningependa kuwa yeye!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom