Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
aolewe tu Ndoa zinazodumu ni zile mwanaume amekufa akaoza juu yako na mwanamke anaweza kujenga hisia taratibu kadri mume anavyomhandle slowly
Haaa!, unasema kweli?aolewe tu Ndoa zinazodumu ni zile mwanaume amekufa akaoza juu yako na mwanamke anaweza kujenga hisia taratibu kadri mume anavyomhandle slowly
nilitaka kupiga like mara kumi jf inakataa! GT bado wapo.Harusi mtamchangia
akisema asiolewe mumchangie ada haya veta....wote mtamsusa
huyo binti ni matokeo tu ya wanajamii walio mzunguka
Ishawahi kukutokea kuwa kuna mtu anakupenda mnoo afu wewe moyo Umegoma kabisa, yani no upendo hata wa kujilazimisha?aolewe tu Ndoa zinazodumu ni zile mwanaume amekufa akaoza juu yako na mwanamke anaweza kujenga hisia taratibu kadri mume anavyomhandle slowly
Kisicho eleweka kipi??? Kama umeelewa sijaandika vizuri umeshindwaje kuelewa ujumbe au hata kichwa cha habari hujakiona???jifunze kuandika vizuri .wala haueleweki kabisa .ulipata division 5 nn??
Ishawahi kukutokea kuwa kuna mtu anakupenda mnoo afu wewe moyo Umegoma kabisa, yani no upendo hata wa kujilazimisha?
hahahakweliHaaa!, unasema kweli?
sijawahi ku experience hii ila mwanaume akikupenda kuliko unavyompenda uhusiano unadumu sanaIshawahi kukutokea kuwa kuna mtu anakupenda mnoo afu wewe moyo Umegoma kabisa, yani no upendo hata wa kujilazimisha?
Mtu usiempenda ni kero sana. Unajikuta unanuna mwezi mzima maana kila anachofanya anakukera.
Simshauri mtu kuvumilia utumbo.
Baadae hao wanaume waliopenda sana ndio watakuja kupost "MKE WANGU ANANIPA UNYUMBA KWA MASHARTI"
Only if huo upendo wenu unafukuziana. tuassume yeye anakupenda kwa 90% afu wewe unampenda kwa 70%. Sio ile mtu anakupenda 90% wewe una asilimia 12%sijawahi ku experience hii ila mwanaume akikupenda kuliko unavyompenda uhusiano unadumu sana
basi aendelee kudanda akipata maradhi utupe mrejesho.Yule wa saluni nae jiji alivamia kwa pupa wacha limnyoshe.
Ingekuwa kuolewa dili ningeolewa mie mwaka ule nilivyowajambisha watu wazima, nikaona akaa muda wa kulala bila pichu bado ngoja nile maisha kwanza.
Bwana mwenyewe bora angekuwa ni bwana kweli ningemwambia dogo jikaze ukale maisha, bwana si chochote akazeeshwe tu na mtoto Mwenye mzuri Tunda wa Young D anasubiri.