Kha, mbona watu wanaenda mbali sana?!? Kufanyaje kote huko, mbona jambo liko straight Wala halina kona hili.. Inshu inayopigiwa kelele hapa Na kunyofoa roho Za watu ni Nini? Sio ngoma, SIO mpira, sio machinga, sio harusi Mradi Wa Bomba la Gesi, hayo mengine nani kakosea, nani kakwiba, nani kaonewa, nani afukuzwe ni ya baadae sana, tamko la haraka sana Kwa sasa ni Mwenye Nyumba ya Nchi Kutangaza Kusitisha Mradi huo haraka. Na IKIWEZEKANA KUUFUTA KABISA.. !! Hayo mengine yatafuata baadae sana.. Mie nashangaa mpaka sasa jamaa yuko muted tu.. Kiasi Gani Raisi wetu Hana huruma Na raia wake. Kweli baba gani Wa Nyumba unamwona mbwa anatafuna Watoto wewe badala ya kumtimua mbwa unakimbilia kumsaka mwenye mbwa hiyo hii ni ajabu. Mkuu wa Nchi akisema Mradi ameusitisha jazba otapoa Na Amani itarejea faster.. Mbona kitu ndogo sana hii..