Ungekuwa rais ungefanya nini?

Ungekuwa rais ungefanya nini?

Tamisemi - Machali (akanyonge wabadhilifu)
Ardhi - Tibaijuka
Menejiment na utumishi - Mrema Lyatonga (Nitamwongeze huduma ya afya)
 
Hebu assume nafasi ya urais kwa muda unadhani nani kati ya waliopo angefiti wizara zifuatazo?
1. Fedha - atafute mtu toka ESRF (atumuie nafasi ya kuteua wabunge)
2. Mambo ya nje - Prof Anna Tibaijuka
3. Ulinzi - Makongoro Nyerere (aondoke kule kwenye bunge la EALA)
4. Mambo ya ndani - Nahodha (anabaki kwa sababu ya muungano)
5. Nishati na Madini - Dr Mwakyembe & Naibu Peter Kafumu
6. Viwanda na Biashara - Zungu

NB: Hussen Mwinyi aende Afya.
 
Hebu assume nafasi ya urais kwa muda unadhani nani kati ya waliopo angefiti wizara zifuatazo?
1. Fedha
2. Mambo ya nje
3. Ulinzi
4. Mambo ya ndani
5. Nishati na Madini
6. Viwanda na Biashara

1. Makala
2. Masele
3. Komba
4. Lusinde
5. Prof. Maji marefu
6. Nchemba
 
Najaribu kufananisha yanayoendelea nchini na hasa bungeni na mambo ya nyumba yenye baba na watoto, watoto wakiwa wanagombana ni lazima baba afanye kitu.

Je, kwa haya tunayoyaona nchini na hasa bungeni kama wewe ndio ungekuwa Mkuu wa Kaya ungefanyaje? Mpaka sasa tunatia aibu na hatua ya kutia aibu ikikua lazima tutaingia hatua nyingine ambayo bila shaka itakuwa ni mbaya kuliko hiyo ya kujiabisha.
 
mi nadhani kwa upande wa bungeni tuko kwenye right track to the dawn of real democary and self awareness of our rights and appropriate approaches to attain such rights if at all we want to develop and reach somewhere.
 
Mh! Bunge at right track?!? Mipasho, matusi, timuatimua, nk ndio right track?
 
Mkuu kisichoeleweka hapo ni nini? Ina maana huoni taifa lilipo sasa na nini kinaendelea katika bunge letu?!

Mkuu tatizo si bunge la chama kimoja , wabunge ni watu wanaoteuliwa na wananchi si kama mawazili , hivyo rais hata kuwa na mamlaka na bunge yeye pia anabaki kama msikilizaji ataendelea kuwasimamia wale aliowateua yeye kwa mamlaka yake
 
Najaribu kufananisha yanayoendelea nchini na hasa bungeni na mambo ya nyumba yenye baba na watoto, watoto wakiwa wanagombana ni lazima baba afanye kitu.

Je, kwa haya tunayoyaona nchini na hasa bungeni kama wewe ndio ungekuwa Mkuu wa Kaya ungefanyaje? Mpaka sasa tunatia aibu na hatua ya kutia aibu ikikua lazima tutaingia hatua nyingine ambayo bila shaka itakuwa ni mbaya kuliko hiyo ya kujiabisha.

Mkuu hiyo ndio democracy sasa. Ukraine, Korea, Singapore wabunge wanachapana masumbwi.

Seriously, Rais hana mamlaka na wabuge au kinachotokea bungeni. Yeye ni mhimili mmoja (executive) katika mihimili mitatu ambayo haipaswi kuingiliana (bunge ni mwengine - legislative na watatu ni judiciary). Kwa katiba yetu ya sasa kwa kuwa mawaziri (executive) pia ni wabunge, Rais anaweza kukaa na mawaziri pamoja na wabunge wa chama chake na kuwaasa tu. Tafrani ya bungeni ni kati ya chama tawala na upinzani. Rais hana ubavu kabisa wa kuwakemea upinzani.

Mimi kwa kweli hiki kitu kinanifurahisha sana. Kuwa na rubber-stamp bunge hata upande mmoja ukifanyiwa dhulma itakuwa ni kuwasaliti wananchi waliowachagua hawa wabunge.
 
Sio tu kama ningekuwa rais,hata ningekuwa mbunge,ningemchapa vibao bw. Jobb ******..ila kwa kuwa sio hata mbunge,nimemtukana sana.
 
They say Raisi ni sehemu ya Bunge...hivi unafanya nini ktk mfumo mbovu namna hiyo. Kama tuna Bunge ambalo haiwezi kujiregulate basi tena ni business as usaual.
 
Unadhani uwa baba hajafanya kitu. nadhni alishamuita Spika na kumpa maelekezo. zaidi aweza kutafuta fursaya kulihutubia bunge. Yanayotokea bungeni hayana budi kutokea. haya ni majibu ya mfumo uliopo.
 
Najaribu kufananisha yanayoendelea nchini na hasa bungeni na mambo ya nyumba yenye baba na watoto, watoto wakiwa wanagombana ni lazima baba afanye kitu.

Je, kwa haya tunayoyaona nchini na hasa bungeni kama wewe ndio ungekuwa Mkuu wa Kaya ungefanyaje? Mpaka sasa tunatia aibu na hatua ya kutia aibu ikikua lazima tutaingia hatua nyingine ambayo bila shaka itakuwa ni mbaya kuliko hiyo ya kujiabisha.

Kama ningekuwa Raisi ninge mwomba Samwel Sita awe speaker makinda na job wakasomee maana na tofauti za Democracy na dictetaship
 
Sio tu kama ningekuwa rais,hata ningekuwa mbunge,ningemchapa vibao bw. Jobb ******..ila kwa kuwa sio hata mbunge,nimemtukana sana.

Hahahaha! Kwa % kadhaa nakubaliana na wewe. Usiye mbunge japo umetukana, Mkuu wa kaya kimya tu kama hakuna kinachoendelea! Au ndo yale yale ya upepo utapita tu? Inasikitisha.
 
Kama ningekuwa Raisi ninge mwomba Samwel Sita awe speaker makinda na job wakasomee maana na tofauti za Democracy na dictetaship
it obvious kwamba makinda na ndugai wako kichama zaidi na si kwa maslahi ya umma na nchi kwa ujumla,ndo wasimamizi wakuu wa maslahi ya minority ccm considering dat dola na mahakama zitawalinda,majority rights r just foolish n worthless to em!
 
Back
Top Bottom