Ungefanyaje kama ni dada yako?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Wakuu sina hakika kama huku ni kujidai au kumdhalilisha mwanamke. Kama angekuwa ni dada yako ungefanyaje?

amber_rose-ass-grabbed-by-kanye.jpg
 
unakuwa mpole tu inawezekana dada yake yeye anafanyiwa zaidi ila kwa kuwa ni nyuma ya pazia tu
 
Acha afinyangwe tu, kwanza anaonekana kutoa ushirikiano ameshaelekea kibla huyo kudadadeki zake!
 
Hapo aliyejidhalilisha ni Kanya West!!! Kwani anaonyesha kutokua na heshima katika jamii!!! mambo hayo ni ya chumbani/ si hadhari.....aibuu sana! haifai
 
Pili usioila wewe inakuwashiani? Mdada karidhika tena na kajisikia raha wewe mwangaliaji unaanza kuchonga, Mtz utamjua tu kwa kujifanya mwenye heshima...Wewe ungefanyaje kama ni dada yako? Kumpiga Kanye hata kusogea huwezi tena wewe ungefurahi ile mbaya na hata ungeweka kwenye Screen kabisa...acheni Ubazazi fanya yako....
 
kama ni dada yangu cntojisikia chochote sababu mie nimelichezea sana wowowo toka utotoni nimekua naye! kuliko huyo anayelishika sasa hivi.
 
Wakuu sina hakika kama huku ni kujidai au kumdhalilisha mwanamke. Kama angekuwa ni dada yako ungefanyaje?

amber_rose-ass-grabbed-by-kanye.jpg

kiherehere cha nini?, kwani amekushitakia, mwenyewe ajisikia raha au unataka kumnyima raha yake?!
 
Wakuu sina hakika kama huku ni kujidai au kumdhalilisha mwanamke. Kama angekuwa ni dada yako ungefanyaje?

amber_rose-ass-grabbed-by-kanye.jpg

Behavior relates to names...huyo jina lake ni nani...? Kanye West....ameshika nini...wabongo wengine wanaita makalio..wengine....***nyeo... Ameshika la upande upi....mashariki au magharibi...west.... That is the real definition of his name... Kwa lugha za mitaani wanaita slap the west bat...

 
kibla gani tena? na hao wapo kwenye Starehe ya Bar? Au Bar siuku hizi kumegeuka Kibla? Mkuu mbona unaleta matusi tena

Mkuu samahani kuuliza si ujinga!kwani kibla ndiyo nini?na kuna madhara gani kutumia neno hilo katika tukio kama hilo!!
 
Back
Top Bottom