Mwanaume kuishi kwa dada kazi

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Katika harakati za kutafuta maisha unawezajikuta umefika kwa dada kuishi hapo huku ukipiga mishe zako kwa matumaini kwamba one day utajitegemea uishi kwako.

Sasa imagine upo hapo alaf ghafla unaskia ugomvi kusogea karibu unakuta shemeji anamzaba sister.

Ungefanyaje ukizingatia hapo ni nyumbani kwake
 
View attachment 2715694pale ambapo mtoa mada uko kwenye swimming pool ya shemeji yako unamtahadharisha sistaako kuhusu kukandwa kunakofuata
Pale ambapo unakomaa ,alaf wife ak ananivutia kasi
Screenshot_20230808-123358~2.jpg
 
Ondoka haraka sana hapo kwa sister acha kulala kwenye sofa na kugombania remote na wajomba unamnyima shemeji uhuru wa kukanda vizuri
20230812_174227.jpg
 
Back
Top Bottom