Mwanamke ni kiumbe kilichojaa utukufu

Mwanamke ni kiumbe kilichojaa utukufu

ni kiumbe kilichojaa utukufu,tuwaheshimu,tuwapende na kuwalea kwa uwezo wetu wote.mwanaume anayemdharau,kumtesa,kumdhalilisha na kumpiga mwanamke,hadhi yako ni ndogo sana
Mwanamke msomi anayedai haki sawa hastaili kupendwa, kutunzwa wala kuheshimika. Hii ni kwa sababu ya dharau za kipumbavu na ubishi walionao.
 
Ke wana upendo sababu tu tumezaliwa tokana nao na hutuzalia Watoto katika familia, mbali na hapo Ke ana roho ngumu kuliko hata ugumu wenyewe.
JamiiForums233507543.jpg
JamiiForums-1844625321.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke msomi anayedai haki sawa hastaili kupendwa, kutunzwa wala kuheshimika. Hii ni kwa sababu ya dharau za kipumbavu na ubishi walionao.
Ke waliosoma na kuelimika ni wachache sana kuliko waliosoma na hawakuelimika ambao ndiyo walio na majivuno, ubabe na ubinafsi.

Back
Top Bottom