Nsam
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 212
- 286
Siku moja asubuhi nikiwa kazini. Alikuja mwanamke mmoja mtu mzima kunizidi umri
Alinikuta niko ofisini na mkurugenzi msaidizi wa taasisi husika.
Yule mkurugenzi alimwelekeza yule mwanamke kwangu nimsikilize. Nikamuita kwenye ofisini ya mkuu wangu wa kazi nimsikilize
Lakini yule mtu alikataa katu kunieleza ile shida yake. Akisema sitoweza kumsaidia hadi atakapokuja mwenye ofisi
Bas akarudi kwa mkurugenzi yule mkurugenzi akamwambia nimekupa mtu akusikilize vipi hajakusaidia? Akasema hapana akamwambia rudi tena.
Basi yule mama hakujua kama mm nipo kwa niaba ya yule mkuu yaani msaidizi wake. Nikamwambia naomba nikusikilize akasema namtaka fulani. Basi nikamwambia nenda kwake. Yule naye akamrudisha kwangu.
Kama ni wewe ungeweza kumsaidia mtu aliyekudharau kwa sabab ya udogo?
Mm nilimsaidia ww je? Ungefanyaje?