Ungefanyaje kama ni dada yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungefanyaje kama ni dada yako?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Feb 22, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wakuu sina hakika kama huku ni kujidai au kumdhalilisha mwanamke. Kama angekuwa ni dada yako ungefanyaje?

  [​IMG]
   
 2. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kilicho haramu kwako kwa mwengine ni halali. Huoni mtoto katulia ha ha ha ha
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  unakuwa mpole tu inawezekana dada yake yeye anafanyiwa zaidi ila kwa kuwa ni nyuma ya pazia tu
   
 4. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mmh hata kama angekuwa ni dada yako ungesema hivyo? Eti mtoto katulia...........mtu kufinyangwa makalio hadharani ni sawa?
   
 5. Mpagama

  Mpagama Senior Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha afinyangwe tu, kwanza anaonekana kutoa ushirikiano ameshaelekea kibla huyo kudadadeki zake!
   
 6. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo aliyejidhalilisha ni Kanya West!!! Kwani anaonyesha kutokua na heshima katika jamii!!! mambo hayo ni ya chumbani/ si hadhari.....aibuu sana! haifai
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mradi dada kamruhusu huyo jamaa amshike hakuna tatizo
   
 8. M

  Mhango Member

  #8
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pili usioila wewe inakuwashiani? Mdada karidhika tena na kajisikia raha wewe mwangaliaji unaanza kuchonga, Mtz utamjua tu kwa kujifanya mwenye heshima...Wewe ungefanyaje kama ni dada yako? Kumpiga Kanye hata kusogea huwezi tena wewe ungefurahi ile mbaya na hata ungeweka kwenye Screen kabisa...acheni Ubazazi fanya yako....
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  kama ni dada yangu cntojisikia chochote sababu mie nimelichezea sana wowowo toka utotoni nimekua naye! kuliko huyo anayelishika sasa hivi.
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  sioni tatizo....waendelee kustareheshana tu mbele ya watu....
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  kibla gani tena? na hao wapo kwenye Starehe ya Bar? Au Bar siuku hizi kumegeuka Kibla? Mkuu mbona unaleta matusi tena
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mtu na mchumba wake hamna cha ajabu!
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  kiherehere cha nini?, kwani amekushitakia, mwenyewe ajisikia raha au unataka kumnyima raha yake?!
   
 14. peck

  peck JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  awe huru kama ye anaona sawa
   
 15. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  dammit!!!!
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Ningempongeza na kumtakia kila lililo la kheri
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!Inatisha!
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sister!hofu kubwa hapa ni namna alivyoshika hilo kalio,na inavyoonekana kisaikologia hawa jamaa wapo kwenye mtandao wa TIGO!!
   
 19. g

  geophysics JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Behavior relates to names...huyo jina lake ni nani...? Kanye West....ameshika nini...wabongo wengine wanaita makalio..wengine....***nyeo... Ameshika la upande upi....mashariki au magharibi...west.... That is the real definition of his name... Kwa lugha za mitaani wanaita slap the west bat...

   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu samahani kuuliza si ujinga!kwani kibla ndiyo nini?na kuna madhara gani kutumia neno hilo katika tukio kama hilo!!
   
Loading...