ungefanya nin?[based on the true story]

ungefanya nin?[based on the true story]

mi naona asimchukie baba yake mana baba ni baba na hata akijapata baba mwingine akamtunza vizur ila original ni original tu..ivo asimchukie bali azidi kumuombea kwa mola ili azidi kumuweka salama na kumlinda huko aliko na siku moja arudi nyumbani salama salimini
SI VEMA KUWAZA MABAYA NI VIZUR KUWAZA MEMA MDA WOTE
ni vema huyo bint akawaza kua baba yake yuko hai na anasaka mkwanja na hajaweka ndani na shori yoyote na siku moja atawatafuta na kurejea nyumbani kujiunga na familia yao kama mwanzo
 
Imekukwaza ama? Halafu kila thread ambayo ipo hapa unahis hii ni sehemu yake husika? N besides iwanted an opinion on the case nt where to place this thread. Sorry kwakukwazika we mwali we

Beibe story yako ingepata michango ya haja kama ingekuwa MMU; humu wengi tukiingia hatupendi kuumiza vichwa kutafakari sana. Nafikiri Mwali yuko sahihi na ni ushauri tu ametoa sidhani kakwazika.

Back to ur story, inasikitisha sana kwa kweli; na kwa vile binti hajui what real happened to her daddy, bora amuombee tu. Ndio ana kila sababu ya kumchukia, lkn itasaidia? What if baba yake kafungwa?

I wish wangekuwa na mtu mwingine wanayemfahamu anayejua chochote kuhusu baba yao. Wafanye maombi tu kwa imani yao, GAP!
 
Last edited by a moderator:
Imekukwaza ama? Halafu kila thread ambayo ipo hapa unahis hii ni sehemu yake husika? N besides iwanted an opinion on the case nt where to place this thread. Sorry kwakukwazika we mwali we
Wala hujanikwaza mpenzi, nilikua nakushahuri tu
Huku chit chat watu wanakuja kuondoa stress zao
Story kama hii inataka watu wakupe ushahuri wa kweli
Ndio maana nikasema hivo. Sorry kama nimekosea...
 
wana jf wenzangu hebu tuelezane hapa ukweli na unachofikiri. 12 years tangu huyo baba aondoke nyumban kwake alisema anaenda tafuta maisha nchi za watu huko[south africa] na alimuachia mke watoto watatu msichana mmoja ambae ndo wakwanza na wavulana wawil. kipnd hicho msichana alikua ndo kwanza yupo std 6 na hawa wengne walikuwa wadogo bado. Mawasiliano yalikuwepo mpaka kipind bint anamaliza la saba na mama mtu alikua anajitahid aweze kumpeleka bintiye shule na alifanikiwa kwan bint alikua anampa moyo saana mamaye kwa kufaulu vizuri sekondari alisoma kwa vibali mpaka kamaliza form four. Hapo mawasiliano na mzee yalikata kipind bint yupo form one. Kila wakipiga ule namba ya mzee inaita bila kupokelewa basi bint aliendelea kusoma 5n 6 upto chuo na suala hili lamuumiza kichwa saaana hajui afanye nin amtafutaje babaake na isitoshe hakua baba mwenye tabia mbovu aliipenda familia yake saana na mkewe but mpaka sasa hawajui kama mzima au laah kuna wakati inamuuma saana pind amwonapo mamaake analia kuhusu hilo jambo na bado pia mama ndo anafanya kila njia kuwezesha familia yake isome, ile, itibiwe na kilakitu. Swali nikwamba msichana huyu anahaki yakumchukia babaye? Au afanye nin?

Note: ts serious matter matan sitaki hapa. Vigezo na masharti vizingatiwe hapa

hapo asimchukie baba yake, maisha yanabadika kama upepo wa baharini, leo unaweza ukawa masikini kesho ukawa tajiri, hawawezi kujua nini kilichomsibu baba yao, wajuao ni wawili tu nao ni MUNGU NA BABA yao, inawabidi wazidishe maombi na amani miongoni mwao
 
Wala hujanikwaza mpenzi, nilikua nakushahuri tu
Huku chit chat watu wanakuja kuondoa stress zao
Story kama hii inataka watu wakupe ushahuri wa kweli
Ndio maana nikasema hivo. Sorry kama nimekosea...

I understand dear bt i hope everytings will b okey coz usshauri wa watu wachache hauharibu atleast for this watu wanatakiwa waelewe tuu kuwa maisha ni mambo ,engi im sorry pia if i said smthn weird but ithink the gal will have to keep on hoping bt ts painful saana
 
hapo asimchukie baba yake, maisha yanabadika kama upepo wa baharini, leo unaweza ukawa masikini kesho ukawa tajiri, hawawezi kujua nini kilichomsibu baba yao, wajuao ni wawili tu nao ni MUNGU NA BABA yao, inawabidi wazidishe maombi na amani miongoni mwao

Comi hii ni sahihi ila unajua ee yani yafika pind mpaka ile hali ya kuwa na subra inapotea bt any way labda siku moja ntaja wapa feedback kilichojiri
 
Comi hii ni sahihi ila unajua ee yani yafika pind mpaka ile hali ya kuwa na subra inapotea bt any way labda siku moja ntaja wapa feedback kilichojiri

Beibe!
En'hee usiku huu, tuondoke majukwaani, unajua muda uliobaki ni wa nini?
 
Hun jaman mekusubiria wee mpaka mechoka etii haya ulikuwa wapi wewe.

Bhana si unajua mtaa wetu hauna umeme tangu jioni?
Nilikua pale kwenye Bar ya Mrema naangalia mpira my Swiry!
Kwani nini mbaya?
 
Comi hii ni sahihi ila unajua ee yani yafika pind mpaka ile hali ya kuwa na subra inapotea bt any way labda siku moja ntaja wapa feedback kilichojiri

imani bila matendo ni kazi bure,kuwa na imani kuwa mzee bado anaikumbuka familia yake na anamapendo na familia yake, na matendo yako ni kwamba muombe mungu ampe afya na uwezo wa kurudi nyumbani,msimnenee mabaya wala kumuwazia mabaya
 
huna haja ya kumchukia.....
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na chuki.......
Hata kama baba kapata binti wa kizulu...

Ila duniani kuna mengi, mna uhakika huyo baba mzima?
Au kawekwa ndani? South kuna mengi..........
Msihukumu kabla hamjajua nini kimempata

Swali nalojiuliza kama si mzima mbona simu yake ilikuwa inapatikana inaita haipokelewi?
 
Wala hujanikwaza mpenzi, nilikua nakushahuri tu
Huku chit chat watu wanakuja kuondoa stress zao
Story kama hii inataka watu wakupe ushahuri wa kweli
Ndio maana nikasema hivo. Sorry kama nimekosea...

Mwali,
Hivi we binti kale ka bet ketu hakajaisha eeh?
 
Last edited by a moderator:
Umemuona mentor hun?

Nimemuona sana!
Bt refar her Id ndo maana sikuhitaji ku'respond !
Then sikustushwa na tangazo lake la nia , kwakua hapa kwetu ndoa ya Mwanamke kwa Mwanamke haijakubalika !
That's why am remained calmy!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom