ungefanya nin?[based on the true story]

ungefanya nin?[based on the true story]

Hehe. Judgement..kidogo unimeze.
Smol sis...u got a protective man ryt zea....
Bwana shemeji...pole kwa usumbufu.
I remain,
Mentor - the bb.

Mhe, Mentor wala usihofu!
I'm yet perfectable man! Nimeivaje Kichitchat ?
 
Last edited by a moderator:
Hehe. Judgement..kidogo unimeze.
Smol sis...u got a protective man ryt zea....
Bwana shemeji...pole kwa usumbufu.
I remain,
Mentor - the bb.
My hunn mentor alikuwa anakujaribu naana after all oficially ni shemejio n he is my bb. My bb thank uu saana atiii
 
Last edited by a moderator:
My hunn mentor alikuwa anakujaribu naana after all oficially ni shemejio n he is my bb. My bb thank uu saana atiii

Na pia chale zangu kusa cheja!
Nishampimia sana, nimetambua ni mtu nnaemfahamu na yeye ananifahamu, bt haitopita wiki kabla sijamtambua.
 
Na pia chale zangu kusa cheja!
Nishampimia sana, nimetambua ni mtu nnaemfahamu na yeye ananifahamu, bt haitopita wiki kabla sijamtambua.

Haha..shem usijidai sana ukavimba kichwa bana..ningekukomalia....! Judgement, tunafahamiana wapi shem??
beibe nasty, SS u have a proud man here..sijui ni mhaya!??lol....
 
Last edited by a moderator:
Haha..shem usijidai sana ukavimba kichwa bana..ningekukomalia....! Judgement, tunafahamiana wapi shem??
beibe nasty, SS u have a proud man here..sijui ni mhaya!??lol....

Uhaya sinao, bt nawapenda sana wahaya!
Hasa wanapoongea Kiswahili wakipronounce kwa lafdhi yao!
Mie natoka Pwani, na kwa nyongeza kwakua nina umbile la miraba minne, mtaani wananiita Jikwere au Likwere whatever.
 
Last edited by a moderator:
Uhaya sinao, bt nawapenda sana wahaya!
Hasa wanapoongea Kiswahili wakipronounce kwa lafdhi yao!
Mie natoka Pwani, na kwa nyongeza kwakua nina umbile la miraba minne, mtaani wananiita Jikwere au Likwere whatever.

Hehehhhheeeh makubwa haya
 
Ushalalamika wee! Mwili unakuuma na kisha hunihitajii kwa tiba!
Nikueleweje?
Wajitibu mwenyewe?
Au ?

Hahah Shem Judgement, kapata mkunaji!lol...bt siriazly SS wangu sio mbaya kiivo tulilelewa vyema!
Wewe beibe nasty, si asubuhi umelalamika wawashwa wewe...afu unampotezea shem inakuaje!??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom